Ahh Ahh Eiy Eiy (Eiy Eiy)
Verse 1
Ninataka niwahi kufika, nija
inajam sasa wapi nitapita
Nimekaa karibia saa sita, sasa
kukaa nimechoka ooh baby
Sijamwona long time now, nimerudi
toka mwezi jana
Nimeshakwambia mama nimefika
tangu mchana
Anajua nimeshafika, ameshapika,
amekasirika
Alipika tangu mchana, ila sasa,
lunch imegeuka dinner
Chorus
Nimechoka kupiga honi now (pii
pii) hatuelewani (2x)
Pii pii, move out of the way, nimechoka
kupoteza time
Nina siku nyingu kwenda home,
I'm missing my baby
Pii pii, hello baby, natamani
niwe nyumbani
Nimekwama hapa nijani kuna jam
baby
Aah aah, kuna jam baby
Aah ahh, hello (3x)
Verse 2
Unanikatia simu unanionea,
wewe ungekuwepo ungejionea
Unafanya hivyo unakosea mamaa
Unanikatia simu unanionea,
wewe ungekuwepo ungejionea
Unafanya hivyo unakosea mamaa
Nakuomba mpenzi ungojee, ni
nijani naja niombee
Nimeochoka nakuja tulee, huruma
nionee
Nakuomba mpenzi ungojee, ni
nijani naja niombee
Nimeochoka nakuja tulee, huruma
nionee
Hook 2x
Nimechoka kungoja highway,
nitapita popote mradi wee
Ili kama ni kesi na iwe (hatuelewani)
Chorus
Nimechoka kupiga honi now (pii
pii) hatuelewani (2x)
Pii pii, move out of the way, nimechoka
kupoteza time
Nina siku nyingu kwenda home,
I'm missing my baby
Pii pii, hello baby, natamani
niwe nyumbani
Nimekwama hapa nijani kuna jam
baby
Aah aah (ooh), I love you so much
Aah ahh, I love you Mama
Aah aah, I love you Mamaa, ah ah
ai
Hook 2x
Nimechoka kungoja highway,
nitapita popote mradi wee
Ili kama ni kesi na iwe (hatuelewani)
2x
Pii pii, move out of the way,
nimechoka kupoteza time
Nina siku nyingu kwenda home,
I'm missing my baby
Pii pii, hello baby, natamani
niwe nyumbani
Nimekwama hapa nijani kuna jam
baby
2x
I love you so much, I love you
Mama
I love you mama (2x)
My baby (6x)
[ www.koralyrics.com ]