kora lyrics
Email: Password: 
Forgot your password? 
Sign Up
Artist
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
 
Bookmark and Share Kora

KoraLyrics is the place for music lyrics from all over the great  continent of Africa. KoraLyrics provides all lovers of African music with lyrics from diverse genres such as African Hip Hop, Soukous, Makossa, Native Music, Juju, Afro-Beat, Reggae among many.  You can check out some lyrics and submit new ones to add to the rich experience of the site.
Top Artists
01 P-Square
02 Dagrin
03 Toofan
04 M.I
05 2Face Idibia
06 Banky W
07 Joyous Celebration (Ntokozo Mbambo)
08 Midnight Crew
09 Styl-Plus
10 Mo'hit All Stars
11 Juliana Kanyomozi
12 Gang of Instrumentals
13 Marlaw
14 Y.Q
15 Sarkodie
16 DJ Sumthyn Black
17 Black Coffee
18 Kaysha
19 Asa
20 Ringo Madlingozi


NewsLetter Sign Up
The latest lyrics and music news in your mailbox:

 
Archive Stats
total artists:
total songs:
new songs today:
new artists today:


LYRICS



INTRO: JF Soundsssss CHORUS In my heart In my heart haaaaaa*5 VERSE 1 Mana yange weee oh mungu wangu tupatie roho za utu ningelia lakini kulia hakika sio mhimu sikizeni kuhusu haa maisha dunia humu shida tupu abortion imekuwa ni kitendo cha kila siku watoto wanatupwa kwa mbolea kama uchafu je mwaona raha mkimwagha hii damu hii damu hii damu wacheni kuwua hawa watoto pia ni binadamu ndio naelewa kipenzi pia ni kitamu usikubali dada ka kuzaa kwako ni tabu kulea ni tabu kwa wale hawajui family planing ni mhimu utaelezwa mengi ata kutumia condom waschana vijana wenza maisha hii ni ngumu uspopata mimba labda utapata hii mdudu hii mdudu hii mduduuuuuuu CHORUS: In my heart In my heart haaaaaa*5 VERSE 2 maisha ni mhimu kwa yeyote mwana damu tumboni myezi tisa akazaliwa kwa machungu bila chakula bila mavazi na tena uchi tupu namshukuru mola kwa kutupa yake nuru ituangazie mchana na usiku wazazi waliposota marafiki watukimbia lakini nilitumaini wakati utawadia tuishi kwa amani na pia kufurahia pesa husemekana ni mauwa ya dunia ambayo huchanuka na mwishowe kuanguka kuanguka, kuanguka LISTEN TO THIS AFRIKAN INTERPRETOR mimi kiumbe kidogo nimeshindwa ni punguwani lakini nilitumaini wakati utawadia tuishi kwa amani na pia kufurahia kile nataka kile nataka si lazima iwe kile naimba kile naimba si lazima iwe ndio nasema ndio nataka ni lazima iwe. CHORUS: In my heart In my heart haaaaaa*5

[ www.koralyrics.com ]

Contact Us || Privacy Policy Copyright © 2010 KoraLyrics.com. All Rights Reserved.